Habari za Punde

MAMA SHADYA ATOA MKONO WA EID KWA WATOTO YATIMA

Mkurugenzi wa Kijiji cha Watoto cha SOS Suleiman Mahmuod Jabir akitowa maelezo ya maendeleo ya watoto wa kijiji hicho kwa Mke wa Rais wa Zanzibar alipotembelea kijiji hicho kwa kuwasalimia weatoto wa kijiji hicho na kuwapa mkono wa Edd el Fitry.
Watoto wa Kijijicha SOS wakipokea mkono wa Edd kutoka kwa Mke waRais wa Zanzibar alipowatembelea kijijini hapo kuwapa mkono wa edd.
Mke wa Rais Mama Shadya Karume akitoa mkono wa Eid Ul Fitri kwa mmoja wa watoto wanaolelea katika kijiji cha SOS, mtaa wa Mombosa Unguja, alipowatembelea kwa ajili ya kuwapa mkono wa Eid.


Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mama Shdaya Karume akitowa mkono wa Edd kwa watoto wa nymba ya watoto Mazizini.



Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akiwapa mkono wa Eid watoto wa nyumba yakulelea watoto Mazizini alipowatembelea, wakiwa katika Nyumba yao Mpya baada ya kuhama Forodhani, kuhamia hivi karibuni baada ya kumalizika ujenzi wake uliojengwa na Jumuiya ya ZEYEDESA inayoongozwa na Mama Shadya Karume.


Watoto wa nyumba ya kulelea watoto ya Mazizini wakiwa katika nyumba yao mpya wakiwa na sikukuu yao waliopewa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume alipowatembelea na wakuwa mkono wa Eid.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.