Habari za Punde

MATENGENEZO YA BARABARA YAKIENDELEA

MAFUNDI wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiweka taizi pembezoni mwa barabara ya Mlandege Kinazini ili kuimarisha miundo mbinu ya barabara za mji wa Zanzibar, kama alivyokutwa na mpika picha wakiwa kazini jana. Sehemu kubwa ya barabara za mjini zimefanyiwa mategenezo makubwa ya kuwekwa lami mpya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.