Habari za Punde

KAMPENI YA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI JIMBO LA KWAMTIPURA WILAYA YA MJINI UNGUJA.


MGOMBEA Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama mpya aliyejiunga na CCM akitokea Chama cha CUF, Amina Haji Farouk katika mkutano wa kampeni ya Urais uliofanyika kiwanja cha mpira cha mzalendo mikunguni.

WANACCM wakishangilia kwa staili ya aina yake katika mkutano wa kampeni ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi uliofanyika kiwanja cha mpira cha Mzalendo, Mikunguni.

Bi Salama Majaliwa akitowa salamu Wazee wa Mkoa wa Mjini katika mkutano wa kampeni jimbo la Kwamtipura uliofanyika uwanja wa Mzalendo Mikunguni.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimtambulisha mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma katika mkutano wa kampeni wa jimbo hilo.
WANACHAMA wa CCM wakishangiria jambo katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kwamtipura.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.