MAKAMO wa Rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal nae akila kiapo
SHEKHE wa Dini yas Kiislamu akimuombea duwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania katika sherehe iliofanyika uwanja wa Uhuru Temeke nje kidogo ya mji wa Dar-es-Salaam
RAIS wa Tanzania akipokea Ngao ya kujikinga na maaduni kutoka kwa Mzee Athumani Issa Mwinyimvua
RAIS wa Tanzania Jakaya Kikwete akiwa na Ngao na Mkuki baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania ikiwa ni ishara ya kujikinga na maadui
Majaji wa Mahakama kuu na Mahakama za Rufaa pia walikuwepo
No comments:
Post a Comment