Habari za Punde

MATUNDA YA EMBE YAKIWA SOKONI.

WAKULIMA wa matunda ya Embe wakiwa sokoni Mwanakwerekwe wakisubiri wateja wa bidhaa hiyo ambayo ni msimu wake huu wa embe za aina hii ya shomari tenga moja liliuzwa shilingi 12000/=. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.