SEHEMU ya mbele ya jengo hilo lililoungua likionekana pichani
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwafariji baadhi ya Wazee waliounguliwa na Vitu vyao katika ajali ya moto ilioyotokea usiku wa kuamkia leo hakuna mtu aliyejeruhiwa
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akiwafariji baadhi ya Wazee wanaoishi katika Nyumba za Wazee waliounguliwa na jengo lao gorofa ya kwanza alipofika katika eneo hilo la tukio leo.
JENGO la Nyumba ya Wazee Sebleni likionekana sehemu ya mbele baada ya kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo  |
SEHEMU ya varanda ya moja ya Nyumba za Wazee Sebleni ikiwa imeangukiwa na Vigae vilivyoezekewa paa la jengo hilo. |
MOJA ya chumba cha Wazee wanaoishi katika Nyumba hiyo kikiwa kimeteketea kwa moto na vitu viliokuwemo humo hakuna Mzee aliyejeruhiwa katika janga hilo lililotokea usiku wa kuamkia leo.
BAADHI ya kumbi katika jengo la Wazee Sebleni baada ya kuunguwa usiku wa kuamkia leo.
Wazanzibari wajitokeze kwa hali na mali pamoja na kujitolea kwa kujengeya WAZEE nyumba ya Sebeleni bada ya moto ilyojiteketeza hapo juzi. HARAMBEE.
ReplyDelete