Habari za Punde

NDUWARO

WAVUVI wa bandari ya Maisara wakiwa na samaki wao aina ya Nduwaro waliomvua katika bahari ya Zanzibar wakimpeleka Marikiti Kuu ya Darajani ili kupigwa Mnada samaki huyu amefikIa bei ya shillingi 450,000/=.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.