Habari za Punde

BI MWANAHAWA ALI AKIPATA MATIBABU MOROGORO

Mwanamuziki maarufu na mkongwe wa muziki wa taarab, Mwanahawa Ali wa kundi 5 Star Modern Taarab kutoka Zanzibar, akiwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro leo asubuhi baada ya kupatiwa matibabu kutokana na majeraha aliyopata katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria na wasanii wenzake wa, eneo la Doma, Mikumi nje kidogo ya mji wa Morogoro ambapo wanamuziki 13 waliokuwa katika gari hilo wamekufa papo hapo. (Picha kwa hisani ya mdau wa Morogoro)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.