Chakula cha Usiku kilichoandaliwa na Future Century Ltd kwa ajili ya kuichangia - Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Zanzibar wakipata Chakula katika Harambee ya kuchangia timu hiyo
BAADHI ya Wafanyabiashara waliohudhuria Harambee ya kuchangia timu ya taifa ya Zanzibar ilifanyika Hoteli ya Zanzibar Beach MAMBO ya Msosi kwa Wachezaji ili kuchangia timu hiyo
WACHEZAJI wa Taifa ya Zanzibar, kutoka Kulia Mohammed Salum, Ahmeid Malik na Omary Tamim
WAFABIASHARA wa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla hiyo ya kuchangia timu ya Taifa ya Zanzibar
WAZIRI wa Habari Utamaduni Michezo na Utalii Zanzibar Jihad Abdillah akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Zan Air Carl .G.SalisburyNAHODHA wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Farouk Ramadhani akitowa shukrani kwa niaba ya Wachezaji wazake katika Harambee ya kuchangia timu hiyo.
MENEJA Mauzo wa Kampuni ya simu ya ZANTEL Mohammed Mussa Baucha na Afisa wa Benki ya KCB tawi la Zanzibar Abdull Mshangama wakifuatilia makabrasha ya uchangiaji katika harambee hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi jezi baada ya kinunua katika mnada huo Mkurugenzi Mkuu wa United Petroleum na timu ya Azam FC Abubakar Said BakhresaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake wakati wa Harambee kuichangia Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes.
MKURUGENZI Fedha na Uendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar Juma A, Hafidh akikabidhiwa Dikoda baada ya kuinunua
MTOTO Ishirini Mahmuod Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Habari na Utamaduni na Michezo Utawala ulipita Mhe Mahmoud Thibit Kombo, akipongezwa kwa Rais wa Zanzibar Dk. Sheein kwa Uzalendo wake wa kuchangia timu ya Nchi yake
Mkuu hapa umenichanganya. Huyu ni mtoto wa Waziri wa Habari na huyo waziri ni Mahmoud Thabit Kombo? Mbona sijaelewa? Huyu ni mtoto wa Waziri Jihadi?
ReplyDeleteSawa Mkuu naona tumechemsha kidogo kwani Mahmoud si Waziri tena. Tutarekebisha
ReplyDelete