MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Iddi akimkabidhi msaada wa Nguo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Leondas Gama kwa ajili ya Wananchi waliopata madhara katika mripuko wa mabomu hivi karibuni. Kati
MKUU wa Wilaya ya Ilala Leondas Gama akitowa shukrani kwa Msaada wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge kwa kujali hali ya Wananchi wezao waliopata madhara ya miripuko ya mabomu
MEYA wa Manispa ya Ilala Jerry William Slaa akitowa shukrani kwa msaada wa Vifaa mbalimbali vilivyotolewa na Wake Wawakilishi na Wabunge kwa kujali hali za Wananchi waliopata janga la miripuko ya
mabomu Gongolamboto mwezi uliopita
BAADHI ya Wabunge na Wake wa Wawakilishi na Wabunge wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Leonidas Gama akitowa maelezo ya madhara ya wananchi walioathirika na miripuko ya mabomu Gongolamboto
Mnapotowa kwa mkono wakuli basi wakushoto usijuwi hapo ndipo Mtazipata fadhila za aliyetuweka katika Milki yake
ReplyDeleteTaufiq