Habari za Punde

OMAR OTHMAN MAKUNGU ATEULIWA JAJI MKUU ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amemeteua Mheshimiwa Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji Mkuu Zanzibar.

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu kiongozi Dk Abdulhamid Yahya Mzee alisema uteuzi huo umeanza leo tarehe 01/05/11

Imetolewa na Idara ya habari maelezo, Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.