Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia,John M.Mclntire,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment