Habari za Punde

BALOZI SEIF AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA GOMBANI - PEMBA



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Balozi Seif Ali Iddi akikagua uwanja wa michezo wa Gombani kisiwani Pemba ambao upo katika matayarisho ya kuwekwa nyasi bandia. Mradi huu wa uwekaji wa nyasi bandia unafadhiliwa na shirikisho la kimataifa la soka (fifa).

Picha na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.