Habari za Punde

DK SHEIN AFUTARISHA IKULU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi na wananchi baada ya kufutari nao kwenye viwanja vya Ikulu leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akijumuika na viongozi wengine katika futari aliyowaandalia wananchi wa mikoa ya Ungja katika viwanja vya Ikulu.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.