
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu waliohudhuria katika hafla ya futari aliyoiandaa katika ukumbi wa hoteli ya Star Light jijini Dar es Salaam

Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kiislamu wakikumbatiana kuonesha mshikamano wao wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa hoteli ya Star Light jijini Dar es salaam

Msemaji katika hafla ya furari, Bw. Juma Mmanga akitoa maelezo kwa waalikwa wa futari hiyo iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa hoteli ya Star Light jijini Dar es salaam

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu walioshiriki katika hafla ya futari aliyoiandaa katika ukumbi wa hoteli ya Star Light jijini Dar es salaam wakipata viburudishaji baada ya futari.

Baadhi ya waumini walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na makamu wa kwanza wa rais Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa Hoteli ya Star light jijini Dar es salaam wakipata matunda baada ya kufutari.

Waumini wa dini ya Kiislamu wakipata futari katika hafla iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa hoteli ya Star Light jijini Dar es salaam.
Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa CUF taifa Al-Haj Ibrahim Lipumba wakati wa futari aliyoiandaa kwa waumini wa dini ya Kiislamu iliyofanyika katika ukumbi wa Star light jijini Dar es salaam
Waumini wa dini ya kiislamu wakipata futari katika hafla iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa Hoteli ya Star Light jijini Dar es salaam
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kiislamu wakikumbatiana kuonesha mshikamano wao wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa hoteli ya Star Light jijini Dar es salaam.
Picha zote na Hassan Hamad, OMKR
No comments:
Post a Comment