Habari za Punde

DK BILAL NA BALOZI SEIF HOSPITALINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Mohd Ghalib Bilal akiwa na Makamu aa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakimkagua Nd Mussa Hemed, mkaazi wa Wete Pemba, mhanga wa Mv.Spice anayeendelea na matibabu katika Hospitali ya Mnazimmoja


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Balozi Seif Ali Iddi, akimkagua mmoja kati ya wahanga wa Mv.Spice mtoto, Saidi Jiradi, aliyelazwa katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja, jumla ya watu mia 600 wameokolewa wakiwa hai na watu 160 Maiti Zao Zimepatikana na bado harakati za utafutaji wa maiti zikiwa zinaendelea

Picha na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.