Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Baadhi ya miili ya watoto wakisubiri kutambuliwa na jamaa zao .
Baadhi ya Miili ya akinababa wakisubiri kutambuliwa na jamaa zao
Baadhi ya Miili ya akinamama wakisubri kutambuliwa na jamaa zao
Inna ilayhi waiina ilayhi rajioun, inshaalah M/Mungu atawalaza marhemu wote katika jannat firdaus...Kweli time ikifika hakuna sababu lakini still nawalaumu hao wenye meli kwa kufanya tamaa ya kupakia abiria wengi zaidi ya uwezo wa meli...wanakula pesa ya damu na Mungu atawalipa kwani ni familia nyingi sana zimeathirika na ajali hiii...Poleni wapiwa wote M/Mungu atawap moyo wa subra inshaalah na awasameh marhemu madhambi yao amin inshaalah...RIP

ReplyDelete