Habari za Punde

MAONI YA MDAU - AJALI YA MELI

Ndugu Othman Asallaam Alaykum

Ni jambo la kusikitisha sana kwa kupoteza ndugu zetu. Katika ajali ya meli iliyo kuwa ikielekea Pemba Napenda kuwalaumu wafanyakazi wanaohusika na mambo ya usafiri wa meli hiyo ambapo inajulikana meli hiyo huchukua abiria kadhaa na mizigo yenye uzito kadhaa ni jambo la kushangaza?

VIPI CAPTAIN HAKUFAHAMU KAMA MELI IMEOVER LOAD?

WAHUSIKA WA BANDARINI VIPI WAMERUHUSU MELI KUONDOKA BILA KUCHEKI KAMA MELI IME OVER LOAD?


KWA USHAURI WANGU ZINGELIWEKWA MELI ZA ABIRIA MBALI NA ZA MIZIGO ILIYO NA UZITO MBALI YAANI MELI ZA CARGO

PIA TUNAIOMBA SERIKALI ISIRUHUSU MELI ZA ABIRIA ZISISAFIRI WAKATI WA USIKU.

SHUKRAN NAOMBA UYAFIKIRIE MAONI YETU

1 comment:

  1. Hongera sana mdau,mawazo kama haya ndiyo yanayohitajika.Mimi nadhani suala la kuzuia meli baina ya Pemba na Unguja kusafiri usiku ni la muhimu sana..tena lianze mara moja!..kama kweli tuna nia njema.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.