Habari za Punde

WAANDISHI WAKIPATA TAMKO LA SERIKALI KUTOKA KWA WAZIRI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR UKUMBI WA MAELEZO.

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akitowa  tamko la Serikali kuhusu maendeleo ya zoezi la uokoaji wa majeruhi na miili ya marehemu katika ajali hiyo ya Meli ya Mv Spice iliotokea katika bahari ya Nungwi juzi. 

 WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi akitowa tamko la serikali maendeleo ya zoezi na hatuwa zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga hilo.  
 WAANDISHI wakiwa makani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais akitowa maelezo ya maendeleo ya uokoaji jkatika ukumbi wa Wizara ya Habari Mnazi mmoja jengo la zamani la Baraza la Wawakilishi.
 WADAU wa Camera wakiwa makini kuchukuwa maelezo ili kuwafikishia Wananchi kusikiliza kilichozungumzwa  kuhusiana na ajali ya Meli.

 MDAU wa habari wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar Yunus  Sose akiuliza swali baada ya kutolewa tamko la ajali la Serikali. 
 Edson Mkisi wa Time FM Redio akichapa swali kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
 MUUNDASHI  Ali Sultani akiuliza hatua zitakazo chukuliwa na serikali kutokana na ajili hiyo.  
 MDAU wa Habari Donisia Thomas alipata fursa ya kuuliza swali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.