Timu ya Wanajeshi wa baharini kutoka Afrika Kusini (South African Marines) wanawasili saa 12.00 za jioni na moja kwa moja wataelekea sehemu ya tukio kuanza kazi ya kuzamia na kufuatilia kama kuna maiti au mili yeyote iliyobakia ndani ya meli sehemu iliyozama.
Baadaye kidogo tutawatumia picha za kuwasili kwao. Tupo Uwanjani tunawasubiri
No comments:
Post a Comment