Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mwandishi wa Habari Mbobevu Mariam Hamdani kwenye hafla ya Tuzo za
Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki
Jijini Dar es Salaam Mwandishi wa Habari Mahiri tarehe 05 Mei,
2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano wa
hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa Habari Mbobevu Ndugu Tido Mhando kwenye hafla ya Tuzo za
Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki
Jijini Dar es Salaam Mwandishi wa Habari Mahiri tarehe 05 Mei,
2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano
wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa
Habari Mahiri Ndugu Alfred Lasteck Mushi kutoka BBC Africa kwenye hafla ya Tuzo za
Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki
Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano
wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa
Habari za matumizi ya nishati safi ya kupikia Ndugu Julius Mwita Maricha kutoka
Gazeti la The Citizen kwenye hafla ya Tuzo za Samia Kalamu
Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es
Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, Wadau wa habari
pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari
katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei,

No comments:
Post a Comment