Habari za Punde

UIMARISHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA MIJINI ZENJ.

 WAFANYAKAZI Idara Uzaji wa Barabara Zanzibar wakiweka lami mpya katika barabara ya Lumumba baada ya kuondowa lami kongwe na kuweka mpya ili kuimarisha miundombinu ya barabara za Mjini Zanzibar. 

1 comment:

  1. Hongereni kwa juhudi zenu lakini na mitaro msiisahau. Bara bara bila ya mitaro hukosa uimara kwa vile maji hukatiza na kubomoa!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.