Habari za Punde

UZINDUZI WA HOTELI YA KITALII YA MELIA PWANI MCHANGANI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

 KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Reymond Mbilinyi akihutibia katika uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Melia Zanzibar,ilioko Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, kushoto Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Marko Janssen.   
 WAGENI waalikwa wakiwa katika viwanja vya hoteli hiyo wakimsikiliza mgeni Rasmin wakati mwa uzinduwa na kuwakaribisha wageni waliopo hapo.
 WAGENI waliofikia hotelini hapo wakijumuika katika sherehe hizo


 KAIMU Mkurungezi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Reymond Mbilinyi akizungumza na waandishi wa habari.  
MENEJA Mkuu wa Hoteli ya Melia Zanzibar Marko Janssen akizungumza na waandishi wa habari  huduma mbalimbali zinazotolewa na hoteli yake na kuwapa kipaumbeli wazawa katika kutowa huduma za usambazaji wa bidhaa na
MENEJA Mkuu wa Hoteli ya Melia Zanzibar Marko Janssen akizungumza na waandishi wa habari huduma mbalimbali zinazotolewa na hoteli yake na kuwapa kipaumbeli wazawa katika kutowa huduma za usambazaji wa bidhaa na huduma ambazo zinatolewa kwa wateja wake wanaofikia hotelini hapo.



MENEJA Mkuu wa Hoteli ya Kitalii ya Melia Zanzibar Marko Janssen akiwatambulisha Wafanyakazi wake katika uzinduzi wa hoteli hiyo.  

1 comment:

  1. Haya.. mahoteli yanazidi kufunguliwa! ajira kedekede lkn. wapi? SMZ imewaachia 'UWAMSHO' wapite na kupiga kampeni 'chafu' dhidi ya utalii. Matokea yake, wenzetu wanakuja 'kuramba' ajira kiulaini, vijana wetu wanashangaa tuu!..sie twaonewa!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.