Habari za Punde

UZINDUZI WA SHEREHE ZA MWAKA MMOJA WA USHINDI WA CCM VIWANJA VYA KOMBA WAPYA RAHALEO.

 MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa Wilaya Mjini Burhani Sadaat akihutubia katika mkutano wa sherehe za kutimia Mwaka mmoja wa Ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.    
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Silima Borafia akiwahutubia Wanachama wa CCM wa Wilaya ya Mjini katika sherehe za kutimia mwaka mmoja wa Ushinmdi wa CCM, katika viwanja vya Komba Wapya Rahaleo.   
VIONGOZI wa CCM na Wawakilishi na Wabunge wakimsikiliza Mgeni rasmin akiwahutubia katika viwanja vya Komba Wapya Rahaleo. 

1 comment:

  1. Huyu jamaa bado wanampa uenyekiti? ..huyu si ndio miongoni mwa wale waliotuulia chama chetu kwa 'ushabik wa kipumbavu'?..Mungu atusaidie!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.