Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Mwigulu Nchemba Akabidhiwa Ofisi Rasmin

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma. 
 Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa hafla makabidhiano na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mlimwa Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa makabidhiano ya Ofisi na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mlimwa Jijini Dodoma 
Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa makabidhiano ya Ofisi na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mlimwa Jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba,  akizungumza wakati alipokabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.