Habari za Punde

TENGA AKUTANA NA WAZIRI JIHADI

WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Hassan Jihad akizungumza na Uongozi wa TFF na ZFA katika  ushirikiano wa masuwala ya michezo kwa pande hizo mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika  ukumbi wa hateli ya Bwawani jana, kulia Rais wa TFF LeodgarTenga.

1 comment:

  1. lkn mkuu, umeutumia vizuri mkutano wako na tenga? maana sasa tunahitaji kua 'realistics'Tunakataa udhamini wa bia, ligi inakosa udhamini huku bia zina uzwa mpaka chochoroni!'U can't force conviction by dagger' Tunang'ang'ania kuomba uanachama wa FIFA(jambo ambalo ni kinyume na katiba yake) huku ligi yetu inatushinda...sie twaonewa tuuu!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.