WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Hassan Jihad akizungumza na Uongozi wa TFF na ZFA katika ushirikiano wa masuwala ya michezo kwa pande hizo mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hateli ya Bwawani jana, kulia Rais wa TFF LeodgarTenga.
WAZIRI JAFO AIPONGEZA WMA KUSIMAMIA KIKAMILIFU UBORA WA BIDHAA
ZINAZOZALISHWA VIWANDANI
-
*WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza leo Mei
13,2025,jijini Dodoma,katika Kikao cha Menejimenti ya Wakala wa Vipimo
Tanzan...
6 hours ago
lkn mkuu, umeutumia vizuri mkutano wako na tenga? maana sasa tunahitaji kua 'realistics'Tunakataa udhamini wa bia, ligi inakosa udhamini huku bia zina uzwa mpaka chochoroni!'U can't force conviction by dagger' Tunang'ang'ania kuomba uanachama wa FIFA(jambo ambalo ni kinyume na katiba yake) huku ligi yetu inatushinda...sie twaonewa tuuu!!!
ReplyDelete