Habari za Punde

ZOP NA SAIDIA ZANZIBAR WAKUBALIANA KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOPOTEZA WAZEE WAO AJALI YA MV SPICE

 
NAIBU Katibu Mkuu wa Zanzibar Outreach Program (ZOP),  Abdulbaq Habib Ali kushoto, na Mwenyekiti wa mpango wa Saidia Zanzibar Bobby Mckenna,wakitiliana saini mkataba wa makubaliano kuwasaidia wanafunzi waliopoteza wazee wao kwenye ajali ya Meli ya M.V Spice Islanders hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi.

Picha na Madina Issa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.