Wasanii kutoka Kisiwani Pemba wakionesha moja ya Ngoma za Asaili ya Kisiwani Pemba Ngoma ya Mkota.katika onesho la Tamashala la 100% Zanzibar ukumbi wa Ngome Kongwe Zanzibar.
Mambo ya 100% Zanzibar onesho lililofanyika Ukumbi wa Ngome Kongwe Forodhani.
Mgeni Rasmin katika onesho la 100% Zanzibar katika ukumbi wa Ngome Kongwe Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee, akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika onesho hilo usiku wa jana.
Wasanii kutoka Kisiwani Pemba wakicheza ngoma ya Msembwe wakati waonesho la 100% Zanzibar usiku jana.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa onesho la Tamasha la 100% Zanzibar, katika Ukumbi wa Ngome Kongwe.
Wananchi wakishangilia wasanii kutoa Pemba wakionesha umahiri wa kucheza ngoma za asili.
Wasanii wa Kikundi cha All Star Zanzibar wakitowa burudani ya Taarab katika onesho la Tamasha Msanii Bahati Hamadi, akiimba Wimbo wa Zabibu wakati wa Kikundi hicho kikitowa burudani kwa Wazanzibar waliofika katika Ukumbi wa Ngome Kongwe, kujionea jinsi ya kuundumisha utamaduni wa Zanzibar.
Msanii Fauzia Abdalla akiimbo Wimbo wa Karibu Habibi, anayemtunza ni Mkurugenzi wa 100%Zanzibar,Basalami, ameshindwa kujizuiya na kumtuza Mama yake, alipokuwa akighani wimbo huo.
Msanii Samiri Ali na Wimbo Kiu akitowa sauti ya kinanda katika jukwaa la 100%Zanzibar
Msanii Amina Abdalla na Wimbo Kauli Natoa, akitowa sauti ya kinanda katika jukwaa la 100%Zanzibar.
Wasanii wa Kikundi cha Utamaduni kutoka Pemba wakirusha roho kwa aina yao,
Msanii Makame Faki akiimba wimbo wa Babu.
Msanii Makame Faki akiimba wimbo wa Babu
Mambo ya Rusha Roho hayo wakati wa Tamasha la 100%Zanzibar ukumbi wa Ngome Kongwe.
I'm Sorry na Sihaba Juma.
Mambo ya onesho la Tamasha la 100% Zanzibar katika viwanja vya Ngome Kongwe Unguja wakiburudika na wimbo wa ImSorry ukiimbwa na msanii Sihaba Juma.
Nasiye tulikuwepo na kushangira kwa kujivunia Utamaduni wetu wa Mzanzibar.
No comments:
Post a Comment