Habari za Punde

ZANZIBAR HEROES YATOKA SARE 0-0 NA BURUNDI

Wachezaji wa timu za Burundi na Zanzibar Heroers wakishambuliana katika mchezo wa Kombe la TUSKER CHALLENGE kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo
Mchezaji wa timu ya Zanzibar Heroers Ali Badru kushoto akivutwa jezi na mchezaji wa Burundi Kaze Gilbert wakati wa mchezo wao wa kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 unaofanyika leo jioni kwenye uwanja wa Taifa,mpira umekwisha na hakuna aliyetoka mbabe dhidi ya mwenzake kwani mpaka mwisho matokeo yalikuwa 0-0.
Kikosi cha timu ya Zanzibar kikiwa katika picha ya pamoja.
Kikosi cha timu ya Burundi kikiwa katika picha ya pamoja

Picha kwa Hisani ya Jonh Bukuku - fullshangweblog

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.