Habari za Punde

PEMBA WAJIANDAA NA IDD EL HAJJ


MWANANCHI akimjaribisha nguo mtoto wake kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj keshokutwa
. MFANYABIASHARA wa kuku katika soko la Chakechake akiuza kuku kwa wananchi ili kutumia kwa kusherehekea sikukuku keshokutwa.


WANANCHI wa kisiwani Pemba wakiwa katika harakati za Maandalizi ya Sikukuu ya Eid Al Hajj, katika soko la Chakechake , kwa mahitaji ya nguo na vitu vingine
MFANYABIASHARA ya nguo katika maeneo ya Chakechake akitembeza nguo hizo kutafuta wateja, ikiwa kipindi hichi cha karibu na sikukuu nguo huwa na bei kubwa kutokana na mahitaji kuwa mengi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.