Habari za Punde

WATALII WAKIWASILI NA SHIRIKA LA NDEGE LA SAUDIA


Zanzibar ni moja ya Visiwa vinavyowavutia Wageni wengi na kutembelea Visiwa hivi kama wanavyoonekana picha watalii wakishuka katika Ndege ya Shirika la Ndege la Saudi Arabia uwanja wa Ndege wa
Zanzibar kutembelea sehemu za kihistoria.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.