Wananchi wakiondoa kifusi cha nyumba kilichoangukia Pasola hiyo katika maeneo ya Jangombe Denja, hakuna Mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.
Hii hapa Pasola yetu baada ya kazi ngumu ya kuondoa kifusi kwa mikono kuweza kuiopoa, baada ya kupata ajali ya kuangukiwa na Ukuta wa Nyumba katika maeneo ya Jangombe wakati ikinyesha Mvua.
WANANCHI wakiondoa kifusi kilichovunika chombo cha moto aina ya Pasola, baada ya kuangukiwa na ukuta wa Nyumba katika maeneo ya Jangombe Denja, wakati wa mvua ikinyesha, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
No comments:
Post a Comment