Habari za Punde

SERIKALI YA CHINA YATOWA MSAADA WA YUAN MILIONI 50 KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII ZANZIBAR.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee, akitiliana saini na Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng,msaada wa kuisaidia Zanzibar katika shughuli za Maendeleo ya Jamii, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Wizara ya Fedha Vuga.  
 Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng, akibadilishana Mikataba baada ya kusaini na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee. 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee, akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari baada ya kusaini msaada na balozi wa China, 
Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng, akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kutiliana saini na Waziri wa Fedha wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.