Habari za Punde

MCHEZO WA NETIBOLI UFUNGUZI WA MAPINDUZI CUPTIMU ZA TAIFA. TANZANIA NA UGANDA SHE CRANES

Bendera za Nchi zinazoshiriki michano ya Mapinduzi Cup zikipepea katika Uwanja wa Gymkhana.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad, akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania.wakati wa mchezo wa Ufunguzi uliofanyika uwanja wa Gymkhana.   
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad, akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania.wakati wa mchezo wa Ufunguzi uliofanyika uwanja wa Gymkhana.
Waheshimia wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka Muamuzi wa Uganda aliyefariki Dunia hivi karibuni kabla ya kuaza kwa mchezo wa ufunguzi.  
Wachezaji wa mchezo wa ufunguzi wa Mapinduzi Cup, wakisimama kwa dakika moja kuomboleza kifo cha Muuamu wa Mchezo wa Netiboli Nchini Uganda.
Wachezaji wa timu za Uganda na Tanzania wakiwania mpira, katika goli la timu ya Tanzania.  

Mchezaji wa timu ya Uganda She Cranes Florence Amono, akidaka mpira golini kwa timu Tanzania, huku mlizi wa Tanzania Dorita Mbunda, akijiandaa kumzuiya.  
Mchezaji wa timu ya Uganda She Cranes Esther Awaye, akidaka mpira golini kwa timu ya Tanzania 
Mchezaji wa timu ya Tanzania Pili Peter, akiifungia timu yake  
Mchezaji wa timu ya Tanzania Asha Ibrahim, akidaka mpira kujianda kufunga golini kwa timu ya Uganda She Cranes. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.