Habari za Punde

Sherehe za Kusherehekea Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar Yakiadhimishwa Kwa Mbio za Baskeli.

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Suleiman Othman Nyanga, mgeni rasmin katika mashindano ya mbbio za Baskeli yalioazia Kisonge Michezani, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibar.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.