Habari za Punde

MICHUANO YA NETIBOLI MAPINDUZI CUP KATI YA KENYA 44 VS ZAMBIA 47,

 Mchezaji wa timu ya Zambia Vyonne Kohole, akidaka mpira katika mchezo wa Netiboli Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana timu ya Zambia imeshinda 47-44. 
 Wachezaji watimu ya Kenya na Zambia wakisubiri kuigia goli katika goli la timu ya Kenya. 
 Mchezaji wa timu ya Kenya Juydi Juma, akidaka mpira tayari kwa kutowa pasi kwa mchezaji mwezake,nyuma mchezaji wa timu ya Zambia Mable Mulenga, akijianda kumzuiya. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.