Habari za Punde

Ajali ya Gari Rahaleo


Wananchi wakiagali magari yaliogongana katika barabara ya Michenzani eneo la Rahaleo mkabala na Grevu, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.