Habari za Punde

Uhaba wa Petrol Katika Vituo Zanzibar Walanguzi Huuza kwa bei ya Juu.

 Baadhgi ya Magari yakiwa katika foleni kusubiri kupatiwa Mafuta katika Kituo cha Mafuta Kijangwani, bei ya mafuta lita moja shilingi 2000/=, walanguzi huuza shilingi 3500/= kwa lita moja.  
 Watumiaji wa vyombo vya moto wakiwa katika foleni wakisubiri kununua Mafuta katika kituo hicho cha Zanzibar Petroleum Kijangwani, uhaba wa mafuta katika vituo inasababisha walanguzi kuchukuwa nafasi ya kuyauza kwa bei ya juu.
Walanguzi wa Mafuta ya Petrol wakiwalangua watumiaji wa vyombo vya moto baada ya kununua katika vituo na kuyalanguwa kwa bei ya shilingi 3500/= na 4000/=.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.