Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwasili katika viwanja vya Bustani ya Victoria, akiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wakisimama wqakati ukupingwa wimbo wa Taifa katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar ilioadhimishwa viwanja vya Victoria Vuga.
Wageni waalikwa wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Waheshimiwa katika sherehe ya Siku ya Sheria Zanzibar katika viwanja vya Victoria Vuga.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, akisoma risala katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika viwanja vya Victoria Vuga.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Othman Masoud Othman, akisoma risala katika sherehe hizo
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim Mzee,akisoma risala yake katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.
Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar Mhe. Awadh Ali Said, akisoma risala katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.
Waheshimiwa wa Mahakama za Kadhi wakihudhuria sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Majaji na Viongozi wa Serikali.
No comments:
Post a Comment