Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi akipokea matembezi ya wanavyou na waislamu wa Zanzibar yaliyoanzia msikiti wa Salaam Mlandege Zanzibar na kumalizia viwanja wa Mnazimmoja. Zaidi ya madrasa 20 zilishiriki katika matembelezi hayo ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (SAW).
Ngamia na Farasi wakiwa mbele kuongoza matembezi ya waislamu wa Zanzibar katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (SAW). Matembezi hayo yalianzia msikiti wa Salaam, Mlandege na kumalizia viwanja vya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga (aliyevaa koti jeusi), akiwa mstari wa mbele katika matembezi maalum ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (SAW). Matembezi hayo yalianzia msikiti wa Salaam, Mlandege na kumalizia viwanja vya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Picha: Hassan Hamad, OMKR
No comments:
Post a Comment