Habari za Punde

Meli ya Kitalii yatia Nanga Bandari ya Mkoani Pemba na Unguja.

Meli ya Kitalii kutoka Nchini Afrika Kusini Clipper Odyssey.  ikifanya Safari za Kitalii katika Visiwa vya Unguja na Pemba, kutembelea sehemu za historia, ikiwa na Watalii 58, ikiondoka katika bandari ya Unguja kuendelea na safari yake. 

1 comment:

  1. Hongera zao vijana, najua wamekula 'vichwa' hapo

    Ah..maskini enzi zangu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.