Habari za Punde

Msongamano wa magari darajani

Uimarishaji wa Miundombinu ya barabara imekuza uingizaji wa magari katika katika visiwa vya Zanzibar na kusababisha foleni kwa baadhi ya wakati, kama inavyoonekana katika barabara ya darajani ikiwa na foleni kubwa.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.