Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhajj M.R.Kundyu, akisalimiana na Wananchi wa Jimbo la Rahaleo, alipowasili kuzindua mradi wa Maji Jimboni humo.moja ya Kisima cha Maji safi kilichoko Muembeshauri.
Wananchi wa Muembeshauri Jimbo la Rahaleo wakishangilia uzinduzi wa Kisima cha Maji Safi katika Shehia yao Jimbo la Muembeshauri.
Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira, akitowa maelezo ya Mradi wa kuchimba kisima katika Shehia za Jimbo hilo kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhajj. MR. Kundya.
Wananchi wa Jimbo la Rahaleo Shehia ya Muembeshauri, wakimsikiliza Mwakilishi wao akitowa maelezo ya mradi huo wa uchimbaji wa Visima katika Jimbo hilo.kuondowa matatizo ya maji kwa wananchi wao.
Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mjini Alhajj. M.R.Kundya, akinywa maji baada ya kuzinduwa kimoja ya Kisima cha maji baada ya kuzinduwa mradi huo katika m taa wa Muembeshauri.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhajj. M.R.Kundya akizinduwa kisima cha maji Jimbo la Rahaleo, mtaa wa Makadara, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 35 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mkaazi wa mtaa wa Makadara akikinga maji baada ya kuzinduliwa mradi huo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhajj. M.R.Kundya, akiwahutubia wananchi wa Wadi ya Mlandege shehia ya Makadara baada ya kuwazinduliwa mradi wao wa maji safi na salama.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhajj. M.R.Kundya akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maendeleo ya Jimbo la Rahaleo baada ya kuzinduwa miradi ya maji ya jimbo hilo.

No comments:
Post a Comment