Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Msaidizi Katibu Mkuu wa UN Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Msaidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi, Kitengo cha UN Women, Mr John
Hendra,baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
j
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Msaidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John
Hendra, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Msaidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women , Mr John
Hendra,pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar j
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Msaidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi  Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi, Kitengo cha UN Women, Mr John
Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

1 comment:

  1. Bwana muandishi jaribu maelezo yaendane na picha na vile vile jaribu kuzipanga kwa mpangilio mzuri kama vile kusalimiana yaani mwanzo wa kukutana iwe ya mwanzo inafata mazungumzo na baadae kuagana.Nadhani kwa mpango huu itapendeza.
    Samahni

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.