Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akitokea jijini Dar es Salaam
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akitokea jijini Dar es Salaam
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikagua ngoma za asili katika uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kutua katika akitokea jijini Dar es Salaam
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF akitoa nasaha fupi kwa wakaazi wa Tanga baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akitokea jijini Dar es Salaam. (Kesho tarehe 23/03/2012 anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara mjini Tanga). Pamoja nae ni mgombea wa udiwani katika kata ya Msambweni Tanga kupitia CUF Abrahman Hassan Omar. Picha, Salmin Said, OMKR).
No comments:
Post a Comment