Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni, akizinduwa jumuiyahiyo ya Watoto Mfanano, katika ukumbi wa Salama Bwawani.
Katibu wa Jumuiya ya Watoto Mfanano akisoma risala ya jumuiya hiyo mbele ya mgeni rasmin Mbunge wa jimbo la Kikwajuni, sherehe za uzinduzi huo zimefanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni akikabidhi Vyeti kwa Wananchi waliochangia jumuiya hiyo katika sherehe za uzinduzi huo bwawani.
Msanii Mkongwe wa Sanaa ya Taarab Bi. Kidude bint Baraka akiwahamasisha Watoto hao wakati wa ufunguzi huo.
Watoto wenye Mfanano wakicheza ngoma katika sherehe hiyo ya uzinduzi wa jumuiya yao uliofanyika bwawani.
Watoto wenye Mfanano wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi huo.
No comments:
Post a Comment