Wajasiriamali Wanawake wakiweka mkakati jinsi ya kuendeleza biashara zao wakati wa kikao cha kujadili mwendendo na mafanikio ya Wajasiriamali Zanzibar wakati wa shughuli zao katika soko la Sunday Market Michezani wiki iliopita.
Uchaguzi : Mwenyekiti wa INEC Alivyokabidhi Hati kwa Rais na Makamu wa Rais
Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
-
[image: Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs
Mwambegele amekabidhi Hati kwa Rais Mteule na Makamu wa Rais Mteule wa
Jamhuri ya Muun...
19 hours ago

jamani soko la kila wiki ni bora kuuzwa vitu vinavyo hitajika katika matumizi ya familia ya kila siku yakiwemo matunda, mboga mboga n.k. hii pia ingesaidia kupunguza msongamano kwenye masoko yetu hasa kwa siku ya jumapili. Badilini sera.
ReplyDeleteMchangiaji wa mwanzo,upo right kabisaaaa!
ReplyDeleteNa hasa ukizingatia jiografia ya maeneo ya Michenzani,hakuna soko la karibu katika kuwahudumia wakaazi wa maeneo hayo. Wakaazi wa maeneo hayo,inabidi waende sokoni Mkunazini(soko la karibu),au M/kwerekwe (ambalo liko mbali) katika kujipatia huduma zao vyakula.
Maassalaam