Habari za Punde

Zanzibar Premier ,Miembeni United VS Miembeni S C. imeshinda 2--0

 Msimamo wa ligi Kuu ya Zanzibar mzunguko wa pili unaendelea ukionesha matokeo ya mechi kila timu.
 Ratiba ya Ligi Kuu ya Zanzibar.
 Mshambuliaji wa timu ya Miembeni United mwenye jezi nyeupa Maulid Ibrahim Kapenta, akitumia nguvu zaidi, dhidi ya beki wa timu ya Miembeni SC Ali Issa,katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Miembeni SC imeshinda 2-0.  
 Beki wa timu ya Miembeni SC Mussa Daud, akizuia mpira huku mshambuliaji wa timu ya Miembeni United Suleiman Ali, akijianda kumzuiya, timu ya Miembeni SC imeshinda 2--0.
Wachezaji wa timu ya Miembeni United na Miembeni SC, wakiwania mpira katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Miembeni SC (KWALA)imeshinda 2--0.    
 Ligi Kuu ya Zanzibar imekosa ushabiki kwa watazamaji wa igi hiyo kuwa vinyu na majukwaa kuwa matupu kama hii sehemu ya Urusi ikiwa na watazamaji wachache.kutokana na ligi hiyo kutokuwa na mvuto.  
 Beki wa timu Miembeni United Mohammed Ali,  mwenye jezi nyeupe akimzuia mshambuliaji wa timu ya Miembeni SC Mussa Daud.  
Wachezaji wa timu ya Miembeni United wakitoka uwanja wakiwa na huzuni baada ya kufungwa na watani wao Miembeni SC (KWALA) 2-0 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.