Habari za Punde

Kampuni ya Kusafirisha Mabaharia Zanzibar ya Danaos Yafadhili Jengo Wabeba Vitu Vizito.

Jengo la Klabu ya Kuinua Vito Vizito Mnazimmoja Zanzibar lapata Mfadhili wa kulifanyia ukarabati mkubwa na na kuwa la kimataifa baada ya kumaliza ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya Kusafirisha Mabaharia Zanzibar ya Danaos, kama linavyoonekana pichani likiwa katika hali ya kupendeza na kutowa motisha kwa wachezaji wa mchezo huo hapa Zanzibar.
Wachezaji wa mchezo wa kiinua vitu vuzito wakiwa katika mazoezi na huku ujenzi huo ukiendelea.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.